Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
HahahaMaisha ya usingle magumu ? sasa mwenza si nipo hapa ,tukae tuyajenge, yawe mepesi jamani
HahahaMaisha ya usingle magumu ? sasa mwenza si nipo hapa ,tukae tuyajenge, yawe mepesi jamani
Hahahaha, dah haya nimeshindwa mm
Hebu tulia we mzeeMaisha ya usingle magumu ? sasa mwenza si nipo hapa ,tukae tuyajenge, yawe mepesi jamani
Nikakuotea maeneo yale ghafla nikakupa kissIsije kutokea siku ukaniotea kwenye zile liftnaomba tu ufute

halafu tubanzia hapo mazungumzo, tunamalizia kwenye kitimotoHahahaha, kijana binti anasema kabisa maisha ya usingle magumu,na nyie vijana mpo mnashangaaHebu tulia we mzee
Haha
Una kaka handsome?





Hahahaha, u handsome sio ishu, ishu mfukoni ,hahahaha ,sawa sawa
Duh pole sana ila sasa unakuwaje na maisha ya Usingle sasa!!Kuacha kabisa sitoweza. Ila nilijitahidi kupunguza.
Misosi ya wanga inanishinda siku hizi, nikila wali mchana mpaka jioni nakuwa nimeshiba shiba tu. Kama leo nilikula wali samaki mchana lakini mpaka saa hizi sioni dalili kama nitakula usiku huu... Chips hazichoshi sema kitumbo kitajaa nishindwe kuvaa baadhi ya vi blouse![]()
Maisha ya usingle magumu yanatia uvivu kupika pika, kula restaurant kila mlo ni kujitia umaskini , nasubiri Dec nirudi kwetu nikanenepe![]()
Na unavyojuaga kujificha wewe daah! Unapendelea kitimoto ya wapi?Nikakuotea maeneo yale ghafla nikakupa kisshalafu tubanzia hapo mazungumzo, tunamalizia kwenye kitimoto
Hivi nikisema single mnaelewaje? Me namaanisha vile kuishi mwenyewe lazima upate uvivu wa kupika pika.Duh pole sana ila sasa unakuwaje na maisha ya Usingle sasa!!
Mh mpaka mwezi wa kumi na mbili kazi si itakuwepo!??!
Kuishi mwenyewe ndio U single wenyewe huoHivi nikisema single mnaelewaje? Me namaanisha vile kuishi mwenyewe lazima upate uvivu wa kupika pika.
Kazi haipo nishafika 53 eti. We nipe tips tu nifike 56 mwisho. Nikinenepa sana nitakuwa na mashavu me sitaki
Kesho nitakuandalia tips za mana utafika pazuri tuHivi nikisema single mnaelewaje? Me namaanisha vile kuishi mwenyewe lazima upate uvivu wa kupika pika.
Kazi haipo nishafika 53 eti. We nipe tips tu nifike 56 mwisho. Nikinenepa sana nitakuwa na mashavu me sitaki
Mwanaume pesa, sura tutavumilia au sio? Teh teh!
CuteWhen I was young. View attachment 1530199
Kesho nitakuandalia tips za mana utafika pazuri tu
HahahahaKuishi mwenyewe ndio U single wenyewe huo
HahahahaMwanaume pesa, sura tutavumilia au sio? Teh teh!
Mkuu unataka umfikishe wapi tenaKesho nitakuandalia tips za mana utafika pazuri tu
Popote tu unipeleke, ila mimi napendelea ya kitaa pale kotaziNa unavyojuaga kujificha wewe daah! Unapendelea kitimoto ya wapi?