Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Mweeeee
[emoji40]![]()
[emoji40]![]()
Sawa... hivi punde utaiyonaNdyo ila nataka na leo nione nyingne, mwana msimbazi mwenzangu, kwani shida nn bhanaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makiseo bwana! ID yako ina maana gani?Nikushawishi na nini? Niambie nitekeleze.
Ukijiandas kutuma yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makiseo bwana! ID yako ina maana gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumehamia kwenye ID tena Shem?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha mbona maneno ni mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumehamia kwenye ID tena Shem?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha mbona maneno ni mengi
Naona bro Mnazareth anakuzungusha balaa. Sijui Mnazareth wa wapi huyu? Za kushinda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imebidi nicheke tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabisa.. Mzima wewe?Naona bro Mnazareth anakuzungusha balaa. Sijui Mnazareth wa wapi huyu? Za kushinda?
Hakika....Ila ww hujatuma yako humu[emoji41]
Ucheke nini hasa!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imebidi nicheke tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ni wa pale pale Jijini Bethlehem..Naona bro Mnazareth anakuzungusha balaa. Sijui Mnazareth wa wapi huyu? Za kushinda?
Njoo nikupe k-vant upate mzuka[emoji1][emoji1][emoji1]Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]
Aisee umependeza si mchezo..Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]
Mimi na wewe dam dam..
Usisahau kutuonyesha na chura hakika itapendeza zaidi [emoji39][emoji39][emoji39]Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]