blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,165
- 5,728
Karibu mtakatifu annaNaomba nyama
Karibu mtakatifu annaNaomba nyama
Thank you aisee, means a lot. HeartfeltAkakufanikishe katika yote
Akufanyie wepesi na kukupa kibali Zaidi
Sadaka yako ikazae moja kwa Mia[emoji4][emoji120]
Sadaka ile ikawe ukumbusho na kibali mbele zake.
Akakumbuke mema yote uliyotenda na Akayafanye ukumbusho mbele zake,
Akubarikie na kukulinda
Aah hivi kumbe sipo kanisani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Hazard kalale [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante bossKaribu mtakatifu anna
[emoji120]Thank you aisee, means a lot. Heartfelt
Hahahha nalala je mkuu niache hiki chumaa?Hazard kalale [emoji23][emoji23][emoji23]
Probably tips mkuu, niko mwenyewe mwenyewe leo sijajisomaBaadae utakuwa wapi mkuu
Hicho chuma waachie wanyabi hapo, watamfikisha nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha nalala je mkuu niache hiki chumaa?
Mayday mayday
3rd k vant is down
I repeat
3rd kvant is down
We request immediate backup over View attachment 1531395
Mimi sasahivi wameniletea za mwezi March [emoji16]
Probably tips mkuu, niko mwenyewe mwenyewe leo sijajisoma
Basi wewe kwenye upole haupo[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] hiyo sasa ni sifa ya Jael siyo mimi
Wanazingua sanaYaani mimi tangu jana
Karibu mkuuDoh hii kweli weekend
Kimbia haraka sana, hizo zina corona oooh [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sasahivi wameniletea za mwezi March [emoji16]
Yeaaaah uje tyuuuh yaan deaNakuja Best [emoji7]
Tena unapelekwa dom kwa ndinga angu, raha iliyoje hapo uwiiiiiihNakuombea upate ili dada ako hapa nisipate shida [emoji4]