cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,950
Sasa kakuambia tunapata uhuru yeye anamaliza middle scul, huyo ni babu angu mkubwa labda.
Sasa kakuambia tunapata uhuru yeye anamaliza middle scul, huyo ni babu angu mkubwa labda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heh . Punguza stresi jama! Mpaka unanyonyoka nywele. Easy does it[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kakuambia tunapata uhuru yeye anamaliza middle scul, huyo ni babu angu mkubwa labda.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] usinichizishe mwenzio nipo road nasukuma ndinga, plz taratibu nisije haribu maisha yangu. Ooooh
Fanya ukujee
Hiyo siwezi kuinywa.Fanya ukujeeView attachment 1529912
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji12]Loh ndiyo mmeshusha micomment yote hiyo [emoji15][emoji15]
Na nimeshasusa kulike sasa waone vile [emoji57][emoji57]
Uwezo huo wa kukugomea sina
Wouw kumbee Pal!? Thanks Mumie...Pal raba yako qalii
[emoji7][emoji7]
Hahahah kesho ntaongeza za kutosha
Next time Depal[emoji110]Naomba uweke na mimi nione
[emoji40]Weeee tulia kwanza
Maisha mafupi, shaurilo. Bahati hiyo usiichezee.Una haraka shaur zako