Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Mimi napenda uchibonge.Jaman darl shape gan hyo aliyo nayo dadaako bwanaa uchibonge tu
Shape yako nzuri Sana hasa ikiwa kwenye pigo za church [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda uchibonge.Jaman darl shape gan hyo aliyo nayo dadaako bwanaa uchibonge tu
Ooh bado upo vizuri.. naizi cut.....
Nimeona ela tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sorry bas lol
😂😂😂Wasichana wa Kisukuma zamani walikuwa wanajiziba mikono hivyo hivyo wakati unampa zile sera za kuingilia uchumi wa kati [emoji16][emoji16][emoji16]
TanteeeeeehUsijali bwana
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe mbona una shapes lakibabe kabisa, hebu tupia picha watu wakupigie salute
I love you too bebe[emoji8]Nawatakia weekend njemaaaView attachment 1529867
Mimi napenda uchibonge.
Shape yako nzuri Sana hasa ikiwa kwenye pigo za church [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
nywele zako zinaonekana zinakua haraka though.. texture yake
I love you too bebe[emoji8]
Tunapata uhuru ndiyo namaliza mido skuli. Tutaniane tu ila wengine humu baba zenu kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahhhhhh safiiiii [emoji106][emoji106][emoji106] Mungu fundi banah
Weka picha nikupigie makofinywele zako zinaonekana zinakua haraka though.. texture yake
Nikinyoa zinakua haraka,nikisuka Sasa halafu nikapata vistress kidogo tu zinanyofoka hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]nywele zako zinaonekana zinakua haraka though.. texture yake