Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

jjjj.jpg
 
Kwanini unatumia nguvu kubwa kujifanya mwanamke!??
Wewe kwenye uanaume haupo wala kwenye uanamke haupo,

Unajificha nini!??jambo ukiamua kufanya jitokeze tu na ukubali kuwa wewe ni gay acha kuzunguka zunguka..
Unataka nikujibu vipi? Maan naweza kujibu kwa namna yeyote afu ikawa vibaya kwako?

Kuna sehemu nimetumia nguvu au ushawishi kufanya usemavyo? Km ushahidi unao weka,. Na kuhusu huyo niliyemjibu yeye ndo alitakiwa anihoji 7bu aliuliza ili ajue na karidhika jibu alilopewa,

Una uthibitisho wowote kuwa me n GAY? tena uweke na uthibisho halisi au evidance za kuaminika, au unaelewa maana ya maana halisi ya neno GAY?

Hata ikiwa kadri ya usemavyo iwe nimekubali au sijakubali wee una athirika kipi?
Na unasema wazi kuwa haijulikani nipo wapi, kwan wee upo hapa kujua jinsia yangu?

Na km wee fikra zako zinakushadadia mie ni GAY, ina maan GAYS hawana jinsia rasmi?
Ficha ujinga wako usidhani hapa unajadili na watu wasiojielewa, hiyo logic yako ya mtaan acha huko huko unako refer, hapa tupo ma GT.

Halafu maisha ya mtu mwingne tena mwenye akili timamu na utashi wee yanakuathiri vipi?
Kila mtu ana haki ya kufanya vile anavoona kwake ni sahihi pasipo kuharibu kanuni, taratibu na sheria. Pia hisia ni dhamana ya muhusika hapaswi kuingiliwa wala kuzuiliwa.

Live ur own lyf. Maisha yangu binafsi hayakuhusu.
Km unateseka poleeeeeh sanaaah, relaaaaaaaaaaaaaaaaaaax
 
Maelezo yote hayo uliyoyatoa yamethibitisha pasi na shaka kuwa wewe ni mwanachama hai wa LGBT..No doubt!!

Uwe free hakuna atakayekujudge..
 
Maelezo haya yote yameshathibitisha pasi na shaka kuwa wewe ni Gay no doubt!!

Sasa usijifiche kuwa free wala hakuna atakayekujudge!!
Sasa wee km umeshathibitisha mie n GAY, unataka niweke wazi kwa ajili yako wee au? Kwan humu nilikuja kutangaza interest za hisia zangu?

Hivi mbna sioni mantiki yeyote kwako zaidi ya blah blah zisizo na msingi,
Narudia tena maisha ya mtu mwingine ambayo huusiki nayo na hayakuathiri kwa chochote, achana nayo ishi maisha yako kadri utakavyo. Hakuna kupangiana.
 
Back
Top Bottom