Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Mimi ndio kwanza naweka mipango...bado hajakubaliKumbe una babies wengi hivi

Mimi ndio kwanza naweka mipango...bado hajakubaliKumbe una babies wengi hivi

Roho mtakatifu kaniambia mtajaaliwa 8.Hilo tu,na tusipojaliwa kuwapata
Toa mkono niiscrenshoti.
Wee acha tyuuuh yaan, moyo ndo unapenda ndinga hizo. UwiiiiiiiiihBMW V8 kama kawaida yako
Siku hizi nasikia washakufundisha pombe





Heeeeeh maadam baba angu mie amefanyaje hapa? Lol
Sio jambo baya lakini...usinifiche

Heh . Punguza stresi jama! Mpaka unanyonyoka nywele. Easy does it😀Nikinyoa zinakua haraka,nikisuka Sasa halafu nikapata vistress kidogo tu zinanyofoka hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
@SHIMBA YA BUYENZE ndio baba yako(kwa umri)Heeeeeh maadam baba angu mie amefanyaje hapa? Lol
Kula viporo kwa wingiSasa utuambie jinsi ya kupunguza kitambi..
Njoo sasa tena nakufundisha na kudrive kabisaaah, maan weekend hii yote nipo nalo, uwiiiiiiiih waite na wenzio mkuje haraka.Ngoja nije nisafishe nyota
Sijawahi panda kwenye gari kali kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app




Njoo uchukue
Hivi wanaume kwa nini mnapenda magari mazuri? Huwa mnajisikiaje mkiona nyu modo ya gari?Wee acha tyuuuh yaan, moyo ndo unapenda ndinga hizo. Uwiiiiiiiiih
Wacha weeeNjoo sasa tena nakufundisha na kudrive kabisaaah, maan weekend hii yote nipo nalo, uwiiiiiiiih waite na wenzio mkuje haraka.![]()