Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu alishashindikana siku nyingi.
Hebu fanya kamchakato sister umpate msukuma mmoja mjinga mjinga tule ubwabwa. Mahari mama kasema napokea mimi[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kashindikana kabisa huyu... siyo damu yetu kabisa hii..
Poa mdogo wangu.. ngoja nifanye namna apatikane Msukuma na hivi kwa sasa nipo Usukumani huku.. Jiandae tu.. Nasikia hawa mahari zao ni dhahabu.. wana jeuri hao[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom