Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Huu uzi huwa nauona ona tu, ngoja tuishi humu kwanza!
Karibu kiongozi
Huu uzi huwa nauona ona tu, ngoja tuishi humu kwanza!
Babuuh hii ndinga yako au? Mmmmmh
Wapi sasa dea jomoneeeh?
Sasa yale mavitu ya ajabu unapata raha gani kuyaangalia?
Una characters kama za mdogo wangu kabisa.
Naam...!!! T 1990 ELYrukia
HujamboNaam...!!! T 1990 ELY
Niliangalia kidogo halafu nikakufikiria nikajikuta nacheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zinanichangamsha akili tu
Maisha yangu hayo[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyoo watu tuna matatizo hadi kwenye kope
Wakati wengine maisha yenu vitonga tu stress free
Niliangalia kidogo halafu nikakufikiria nikajikuta nacheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bahati yako hukupatikana.
Wa kiume au wa kike?
Hapo we ni yupi?
Acha tuSpeak your mind.
Teh teh!Mama J kama Mama J [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji3526]Melanin [emoji3590]
Wa kike. Yuko kidato cha 5
Tutasubiri