Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Hiyo Toyota bwana we si mzee wa BMW 😅
BMW ambayo hainichanganyi ni X series. Kuna siku nikaiona X6 aisee ile body tu kwanza macho yangu yalifarijika humo ndani sijui.... Wenye hela zao na wazitumie tu hakiii wivu sina ila macho yangu yanapataga tabu sana 🙌
Hivi zile BMW zenye body kama carina TI ni series ipi? Kuna moja juzi kati niliona body ni kama Carina kabisa ila ina charter ya BMW mbele, nyuma na kwenye tairiWoyoooooooh, lift baas dea lol
BMW ambayo hainichanganyi ni X series. Kuna siku nikaiona X6 aisee ile body tu kwanza macho yangu yalifarijika humo ndani sijui.... Wenye hela zao na wazitumie tu hakiii wivu sina ila macho yangu yanapataga tabu sana 🙌

kuona wenzako 2....