Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,313
- 95,667
Sauti ya NNE nipoMwaya Saint Anne sisi tuendelee zetu imba kwaya
Sauti ya NNE nipoMwaya Saint Anne sisi tuendelee zetu imba kwaya
Aiseee[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaya Saint Anne sisi tuendelee zetu imba kwaya
Vizuri.mwandiko wako unaonyesha wewe si msumbufu na hupendi makuu rafiki.Ahsante sana,nishakaribia, mm sio msumbufu lkn
Hebu acha mambo yako rafiki..Sauti ya NNE nipo
Hahahaha, kuna sauti ya nane?Hebu acha mambo yako rafiki..
Mi nilijua utaniambia sauti ya nane kumbe ya nne!! Sasa itakuwaje na mimi sauti yangu ndo ya nne
Imawezekana ipo lakini sina uhakika😎😎😎Hahahaha, kuna sauti ya nane?
Mungu wangu wa mbinguni akubariki Sana [emoji120]Ooooh ahsanteeh san dea, ntafanya hivyoooh.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huhuhuh sasa unajua maan yake hko ulikopost.Acha mambo ya ajabu basi[emoji28][emoji28][emoji28]mi mwenyew nimecopy nikaja pesti hapa..loh
Hii ndo stand mpya ya Dom?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mbeya hii ,Mwanjelwa?/au
Woooooow dea ake, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Weee uko km mie, mwenzio nna PC yaan haina movie hat ya kudanganishia, ina vitu vingne tyuuh, mbaya zaid ina game la PS4 bas mie mwenyewe sijui wanachezaje, lol
Sas kuna mtu anashnda nalo hilo game naishia kumuangalia mie hat sielew chochote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushamba mzigo
Mie PC angu folders alitengeneza ma broh, kwahiyo kaweka vitu vingne ambavyo hat mie mwenyewe sina hobby navyo, achilia kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Yaan PC ina vitu vingi hadi sio poa wakati mie mwenyew hat sina mambo mengi, ushamba mzigo kwa kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Si ushamba ni maamuzi
Mimi namshukuru Mungu imejaa kwaya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] itabidi unihamishie na kwangu mie hizo kwaya, nianze kuimba, kuabudu na kusifu.
Wazo zuri
Anza kudownload wimbo mmoja mmoja.
Ukikaa bila kazi download worship song moja na uisikilize.. I'm sure hutabaki kama ulivyo[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh ahsanteeh san dea, ntafanya hivyoooh.
Nilijuwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Pesa.