Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Ha ha ha..Haya makisee...
Ha ha haa..![]()
If you know you know.. Umeelewa maana yake? (Makiseee)
Ha ha ha..Haya makisee...
Ha ha haa..![]()
Ha ha ha..
If you know you know.. Umeelewa maana yake? (Makiseee)
Ha ha ha...Naelewa zaidi yako ndio maana nikakuita hivyo, tofauti na ulivyoaandika kwenye ID yako ..![]()
Ha ha ha...
Wewe!!! Kweli?Natamani kujua maana yake zaidi.. Nieleze kama hutojali..
Ha ha haNani alikupa hilo jina ?![]()
Hebu nione inboxiniWekeni picha sio kuchat msieeeeew zenu, khaaaaaah
Uwiiiiiiiij kuna nini huko lolHebu nione inboxini
Nigawie vipande vitatu tu nisuuze mdomoUgali mduduView attachment 1527182
Nina maneno basi miye? Nimeshagivapu. Yote maisha tu bana. Yaani hao mabinti wawili wanavyonitesa na kuninyanyasa siyo poa hata kidogo. Itabidi tu nihame huu uzi mazima kwa sababu kila nikija ni za uso tu non stop dah !!!
Hebu kujaa wacha machachari yakoUwiiiiiiiij kuna nini huko lol
Heeeeeh sasa wee nae lol, kantext bas mmmmhHebu kujaa wacha machachari yako
Asante kwa kunitetea![]()











hebu muache mdogo wangu hukoMi nimekuonea huruma tu kwa kweli
Maana kuna kupitwa na kupeetwer sasa ndugu yangu wee umepeetwer maana ni too much![]()



