Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tupunguze story wadau, picha ndio ziongee zaidi
.
IMG-20200413-WA0006.jpg
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ukiyaweka tu hayo madude, naenda kulala.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi siweki, nimeambiwa eti vitu ninavyovipenda mimi ni vile ambavyo vinapendwa na kueleweka sana na wanaume sasa sijui wanataka kusemaje labda. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

No wonder wanawake wenzangu nikiwaambia kuhusu masuala ya avengers wananishangaa wanasema eti hizo movie hawazielewi. Haki ya nani mnanifanya nijione nina matatizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi siweki, nimeambiwa eti vitu ninavyovipenda mimi ni vile ambavyo vinapendwa na kueleweka sana na wanaume sasa sijui wanataka kusemaje labda. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

No wonder wanawake wenzangu nikiwaambia kuhusu masuala ya avengers sijui nini wananishangaa wanasema eti hizo movie hawazielewi. Haki ya nani mnanifanya nijione nina matatizo.
Tena makubwa[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Ila hayajazidi ya kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom