Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Rarebit

1596587582135.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi siweki, nimeambiwa eti vitu ninavyovipenda mimi ni vile ambavyo vinapendwa na kueleweka sana na wanaume sasa sijui wanataka kusemaje labda. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

No wonder wanawake wenzangu nikiwaambia kuhusu masuala ya avengers wananishangaa wanasema eti hizo movie hawazielewi. Haki ya nani mnanifanya nijione nina matatizo.
Sasa yale mavitu ya ajabu unapata raha gani kuyaangalia?
 
Una characters kama za mdogo wangu kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi siweki, nimeambiwa eti vitu ninavyovipenda mimi ni vile ambavyo vinapendwa na kueleweka sana na wanaume sasa sijui wanataka kusemaje labda. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

No wonder wanawake wenzangu nikiwaambia kuhusu masuala ya avengers wananishangaa wanasema eti hizo movie hawazielewi. Haki ya nani mnanifanya nijione nina matatizo.
 
Kumbe eeeh!?

Nakusanya notisi ili nije nikufanyie saikolojiko analisisi. Lazima nijue chimbuko la "ukatili" wako kwa watu wema kama mimi; na kama kuna lo lote linaloweza kufanyika. Watu wa migombani milimani siyo wakatili hivi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti Migombani Milimani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom