Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi atakuwa alisamehe 7×70 akajua bosi alighafilika tu na moto wa sufuria.

Mi mapenzi yapo kwa mbwa kwa kweli licha ya kuwa zamani nilikuwa nawachukia maana kuna mmoja aliwahi kuning'ata nikiwa std2 ila baada ya kuwa mtu mzima aisee nimetokea kuwaelewa sana.

Yaani kuna kipindi nilinunua mpira maalumu wa kucheza na mbwa wangu basi ukichelewa kurudi akisikia harufu yako tu hizo fujo anaweza bomoa hadi banda ili mradi anata mcheze mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa tangu aning'ate Sina hamu naye tena..
Nilikuwa nampenda Sana.. alikuwa akiniona anafurahi,namlisha vizuri.
Siku moja wakati namlisha wacha aniparuze mkono[emoji1787][emoji1787]
Ni zamani sana..
Baadaye aliumwa akafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masikini jamani, kalikufa.
Nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakufa ...alikaa Kama miezi hivi akapotea,sijui walimuiba paka wangu yule..
Ila ile siku Cha Moto alikiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tangu siku hiyo huwa sishiki kitu Cha Moto bila mshikio.
Kuna siku nilishawahi mwaga mboga hivihivi.. Tena ilikuwa usiku[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakufa ...alikaa Kama miezi hivi akapotea,sijui walimuiba paka wangu yule..
Ila ile siku Cha Moto alikiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tangu siku hiyo huwa sishiki kitu Cha Moto bila mshikio.
Kuna siku nilishawahi mwaga mboga hivihivi.. Tena ilikuwa usiku[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah masikini paka wa watu, mwee we naye unaneng'eneka.
 
Kuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.

Sasa siku moja nikawa nipo nakula huku nikisubiri maziwa yachemke motoni..akawa amekaa pembeni..
Yale maziwa yakachemka yakataka kufurumia juu..Mimi kuzuia kufurumia si nikajidai kuepua sufuria kwa mikono,likanishinda nikamfunika Yule paka [emoji26]
Paka alilia Kama kuku anayewika..


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Me kama sufuria haina mshikio wallah siepui bila kitambaa..
Mama anasema mtoto gani wa kike wewe unaogopa moto 😀😀
 
Back
Top Bottom