Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana
Yeah mwenyewe ninayo hiyo, usijali nitakutumia.Nna uhakika hapo nzuri itakuwa ya Sean paul
Daah sasa hakuna kijiwe kingine ambacho umeweka kambi kwa sasa ?? Maana wengine nikiwakosa humu najua kuna vijiwe nitawakuta wapo wanapiga soga ila wewe hata kwingine sijawahi kupishana na wewe !!Nipo mkuu. Huwa nachungulia, nikikuta stori ni nyingi kuliko picha inabidi niache vibe iendelee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepanda mlima
Kwa faida ya ambao waliniomba picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini sasa 😀Yeah mwenyewe ninayo hiyo, usijali nitakutumia.
Daah usinikumbishe machungu jamani anne, nakumbuka hapo kauzi ndiyo kalikuwa na kama siku nne tu halafu kalikuwa kanakimbia balaa.
Mimi nipo nasoma huko juu.Daah usinikumbishe machungu jamani anne, nakumbuka hapo kauzi ndiyo kalikuwa na kama siku nne tu halafu kalikuwa kanakimbia balaa.
Daah I miss 'em days when we used to have fun in here, huu uzi ulikuwa moto kipindi cha october na november nikikumbuka natamani hata nirudishe siku nyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] juziLini sasa [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hata mimi nilifunguka balaa, ningekuwa na uwezo ningerudisha siku nyuma ili turudi kwenye kile kipindi halafu pia nifute baadhi ya vitu nilivyovisema niwe sijavisema kabisa maana daah.Mimi nipo nasoma huko juu.
Hata siamini Kama Ni Mimi niliyekuwa napiga Domo vile[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Naingia tena mjengoni kwa faida yako Na wengine wengi ambao hamkuwepo
Saint Anne amefika ndani ya mjengo[emoji4][emoji3526][emoji3590]
Depal
Khantwe
kapeace
Da'Vinci ukuje na picha kule
View attachment 1221024
Ila Wewe ulizidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hata mimi nilifunguka balaa, ningekuwa na uwezo ningerudisha siku nyuma ili turudi kwenye kile kipindi halafu pia nifute baadhi ya vitu nilivyovisema niwe sijavisema kabisa maana daah.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kama ndiyo ninyi basi acha tu niendelee kuringa kwa kweliEndelea kuringa tu wakati waoaji ndio sie
Tatizo vyombo, nilikuwaga nikishapendeza nakuwa msumbufu humu hadi najishitukia.
Haha shwaini zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] juzi
Nakutumia sasa hivi mwaya utaikuta kuleHaha shwaini zako
Haya nasubiriNakutumia sasa hivi mwaya utaikuta kule