Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Leo nitakuja kwenye ule uzi wenu wa usiku wa manane nikiongozana na Saint Anne na Zoë
Wewe si bora nimekuelekeza pa kuzipata..
Naomba basiWewe si bora nimekuelekeza pa kuzipata..
Wewe hata muongozo hunipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh labda niweke madikodiko kibao ila hivi hivi haipiti aisee, infact mie siyo mpenzi wa vitu vingi vya kuchemsha.Supu ya sato iko vizuri mno Madame, tofouti na Sangara ambaye simpendi hata kula.
Sent using Jamii Forums mobile app



binti mbona hauniaminiKaribuu Sana japo Mimi mwenyewe mgeni kuleLeo nitakuja kwenye ule uzi wenu wa usiku wa manane nikiongozana na Saint Anne na Zoë
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh, umeanza lini kunikosea adabu dada ako.Sijambo mchuchuu
Hahah sijawahi ona binti anayependa picha kama huyubinti mbona hauniamini
Iko wapi?Nimetuma picha.


Karibu sana mnazarethLeo nitakuja kwenye ule uzi wenu wa usiku wa manane nikiongozana na Saint Anne na Zoë
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo siku hizi umehamia jf usiku wa manane?
Hebu nionyeshe njia wanawekaje picha basi



