Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kwamba sijaweka?? Mbona niliweka ukiacha ile ya mtoto wangu wa mwisho kuna nyingine niliweka halafu nikafuta!!Uongoo
Muombe mwenyeweOohh nakuja unipe ya kwake
Unajua hawezi kunipa we nipe tu simuambii etiMuombe mwenyewe
Wale wote walionisumbua kuomba picha.au siyo
Wale wote walionisumbua kuomba picha.
Picha ilishafika na sifuti...kufuta ni uoga wa maisha.



kabisa mwanamke kujiamini etiMwanamke mtindiiiDah.. Mtindi huo best![]()
Haswaakabisa mwanamke kujiamini eti

Kiofisi zaidiNaogopa mie atanichapa