Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Hii app naipenda ila changamoto zake ni nyingi saaana
App haijawahi kuacha kuwa na mawenge. Inafaa siku moja ya pili inarudi ICU









khaa mtaniua mbavu nyie watoto
Hii app naipenda ila changamoto zake ni nyingi saaana
App haijawahi kuacha kuwa na mawenge. Inafaa siku moja ya pili inarudi ICU









khaa mtaniua mbavu nyie watotoHahah..Mimi si muongo huyu mdogo wako dah sijui nimuelewesheje..Oohh nilijua ulinidanganya kumbe kweli, basi msaidie saint anne tu.
AbeeeeHahah..Mimi si muongo huyu mdogo wako dah sijui nimuelewesheje..
Wewe ama Sakayo mnisaidie
Anapenda sana picha ndugu yetu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kanapenda kuomba picha za wenzie hako ila zake hakatumiHahah..Mimi si muongo huyu mdogo wako dah sijui nimuelewesheje..
Wewe ama Sakayo mnisaidie
Anapenda sana picha ndugu yetu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kanapenda kuomba picha za wenzie hako ila zake hakatumi





Kwamba ajiongeze eti ??
Anabaki kusema zake ziko juu,huo muda wa kutafuta picha huko juu tunaupatia wapi!??
Nimezingatia ushauri wa Dada ako hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sijapenda kwanini hii Union day imedondokea jumapili!! Si ingengoja kesho aisee, nimeumia mnoo.Woyooo notifications za JF zimeanza kuonekana kwa notifications bar kama zamani, wapi Depal na team browser wenzie wenye gubu.
Mara ya mwisho kuonekana hivyo kwangu ilikuwa ni june mwaka jana, Saint Anne naona mambo yameanza kuiva taratibu tu team browser watatuelewa.
Can't wait for mei mosi
Happy union's day everyoneView attachment 1430957View attachment 1430964
Yes au wewe unaonaje!??Kwamba ajiongeze eti ??
Kumbe unayoOohh nilijua ulinidanganya kumbe kweli, basi msaidie saint anne tu.
Hahah..Mimi si muongo huyu mdogo wako dah sijui nimuelewesheje..
Wewe ama Sakayo mnisaidie
Anapenda sana picha ndugu yetu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app





Yaani kanapenda kuomba picha za wenzie hako ila zake hakatumi







Kwani kaka sosho mata hutaki nikuone?
Anabaki kusema zake ziko juu,huo muda wa kutafuta picha huko juu tunaupatia wapi!??
Nimezingatia ushauri wa Dada ako hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinambie Ni Huyo kwenye AvatarKwamba ajiongeze eti ??