Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Mimi namsubiriAtakuja kesho
Silali Hadi amekuja kukata keki[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namsubiriAtakuja kesho
Basi kweli sisi ni ndugu[emoji23][emoji23]
Picha inayo kuja ni yenye maudhui haya [emoji2][emoji2][emoji2]Weka
Halafu tuma hiyo picha inayokujia kichwani
Akija mwambie nimemmiss leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi wewe
Happy birthday dear carbamazepine, Yesu wetu wa mbinguni akutunze.Nimekuja kuona picha yako
Weka basi[emoji4][emoji4]
Leo niko poa sana nashukuru
Mambo ni vipi lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Picha inayo kuja ni yenye maudhui haya [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1431696
Nitafikisha salamu liverowner wa mtu[emoji3526]Akija mwambie nimemmiss leo
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Eeh nani alikutuma ucheze mbali
Asante sana zoë[emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday dear carbamazepine, Yesu wetu wa mbinguni akutunze.
Live long dear friend, I wish you more years of success and winning.
Kwanini una kichwa Kama changu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi wewe
[emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si umekubali sisi ni ndugu ama??Kwanini una kichwa Kama changu
Shwaini zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ninazozijua mimi kuna hold my hand ya Michael Jackson na Akon na kuna hold my hand ya Sean Paul sasa wewe unataka ipi ??In short huu mwaka ni mbaya .... Nimeona hold my hand" angalia screenshot
Siku hizi umepotea sana humu mkuuGirls are the truth, man. May your wish come true.
Hahaha mie naendaga kule karibu kila siku kuwasalimiaLeo nitakuja kwenye ule uzi wenu wa usiku wa manane nikiongozana na Saint Anne na Zoë
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si umekubali sisi ni ndugu ama??
Hahaha yani acha tu
[emoji847][emoji847][emoji847]
Usiku mwema totoo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani baada ya kuniambia nachekesha ndo umeanza kunisifia?