Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hehe nasemaje, kama waoaji ndiyo ninyi hao mchwa acha wanile hadi wanimalize kabisa.Hamna shida. Ila ukikaa kwenu hadi mchwa wakianza kukujengea (kuliwa na mchwa) Utamkumbuka Vers
Hehe nasemaje, kama waoaji ndiyo ninyi hao mchwa acha wanile hadi wanimalize kabisa.Hamna shida. Ila ukikaa kwenu hadi mchwa wakianza kukujengea (kuliwa na mchwa) Utamkumbuka Vers
Haha nakuzingua toto, najua we siyo furushi sema ni vile tu wewe ni mdogo wangu ila ninaamini utakuwa mume mwema kwa wifi yangu utakayempata mbona nilishakuambia hili.Pamoja kiongozi..
My young boy
[emoji849][emoji849] seriously now ??
To me you'll always be young, no matter what you grow into.I'm not that young boy who you think I am.I were
Duuuh!![emoji134][emoji134]Mwee
Good morning totoo
Dogo angalau sasa na vindevu vimeanza kuota.
Na picha zako ukiwa baharini na kwenye Treni bado nimezisave kichwani!!Daah usinikumbishe machungu jamani anne, nakumbuka hapo kauzi ndiyo kalikuwa na kama siku nne tu halafu kalikuwa kanakimbia balaa.
Daah I miss 'em days when we used to have fun in here, huu uzi ulikuwa moto kipindi cha october na november nikikumbuka natamani hata nirudishe siku nyuma.
Hahah wewe nichokoze tu hata mchana haijafikaAiseee [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka Mnazareth nadhani hatudaiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wakina nani hao wanaringa ? mbona kuna watu wanahitaji kuolewa .Mnaringa[emoji23][emoji23]
Ila hiyo midomo si unatuchumisha dhambi tu wazee wa watu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wee mbibi nikukamata siku moja.. utaeleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini linapokuja suala la mahusiano huwa unajidharau hivyo?
Hali ya maisha imekuwa mbaya kipindi hiki cha mlipuko wa maambukizo ya CoViD-19View attachment 1432123
Sent by nCOVID-19
Tatizo vyombo, nilikuwaga nikishapendeza nakuwa msumbufu humu hadi najishitukia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kama ndiyo ninyi basi acha tu niendelee kuringa kwa kweli