Yeah....!huku ndio shida...Dar ni kiboko kwa mvua nilisoma advance Upanga ikinyesha tu ni balaa hapapitiki .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko handwriting kama yangu jamani!Hahaha...
Kwa nini [emoji73]?
Acha kabisaa!
Ila Leo kamenyeshanyeshaHuku shamba tunaisubiri kwa hamu[emoji134][emoji134]
Hahaha...nilikuwa nataka usogee tu hapa...jambo wewe mjukuu wa mpwa ODM
Kweli, ule wako ni next level.
Nikikuwa mkubwa nataka kuandika kama wewe[emoji85][emoji85]
Kanizidi unundaUmenishinda tabia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanizidi ununda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh!! Huku kwetu nehiii, kumenuna tu.