Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,544
- 18,237
Kutoka moyoni kwangu kabisaaa.Yule dogo pembeni karibu na dogii mpe hata nusu kikombe cha juice anatia sana huruma.
Kutoka moyoni kwangu kabisaaa.Yule dogo pembeni karibu na dogii mpe hata nusu kikombe cha juice anatia sana huruma.
Au sio? Me ndio nikikupelekaga bar 😅😅😅[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Depal ndiyo kanifundisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Unazoom asee... Nimeview hata sikumuona ila baada ya comment yako hii imebidi nirudi kuangalia vizuri.Kutoka moyoni kwangu kabisaaa.Yule dogo pembeni karibu na dogii mpe hata nusu kikombe cha juice anatia sana huruma.
Raha si yako banah hahahahah bili juu yako
Kumbe mdogo wangu na wewe mkorofi haya ulimpasua nani😄😄😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh pole sana,, mimi nilishalala sitakishari pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yewooomi!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji3166][emoji3166] Depal karibu tupige tarumbetaView attachment 1294931
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati Nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifupi mdogo wangu kwa Sasa ujipange maana kwenye comment tukibishana nilikuwa naogopa najua pengine ni jibaba ila kwa sasa nakuchana live kumbe una sura soft hivyo😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣 mbona sura ngumu sana hio! Au unaiangalia kwa wasiwasi
Nakutosaje jamani Kekundu, we namie ni kama sahani na kijiko daima pamoja .Ila hako ka Safari ndogo kenyewe tu ni shida! Balimi usiguse huko bia za ki hardcore sana..Waachie wamama wa shoka!
Kweli kabisa[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni huyo mama hapo niko na mwanangu,, halafu wewe unapenda kuona za wenzio tu ila zako hautaki tuone haya nakuja kule tutumiane mkono kwa mkono..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7] Sweetlady
Umenishinda tabia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh pole sana,, mimi nilishalala sitakishari pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni wa supu na mchemsho hizo namuachia Karma
Kuna mtu anakuuziaMali bila daftari......[emoji2][emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1294957
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimfisadi nani mpaka ukajikuta lokapu?
Ooooh poor TTCL!!
Voda ndio maana wana viburi.