Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,824
- 183,019
Hayo ndio maneno sasa, maana mwandiko wangu hata mimi kuna wakati unanishinda kusoma[emoji134][emoji134]Usijali dada tutaanza mwanzo kabisa a,e hadi u
Hayo ndio maneno sasa, maana mwandiko wangu hata mimi kuna wakati unanishinda kusoma[emoji134][emoji134]Usijali dada tutaanza mwanzo kabisa a,e hadi u
Hayo ndio maneno sasa, maana mwandiko wangu hata mimi kuna wakati unanishinda kusoma[emoji134][emoji134]
[emoji134][emoji134][emoji134] yaani ni majanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we kiboko asee!
Hivi mkwe hiyo a.k.a vipi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Asante sana mwalimu, itabidi unishike mkono kabisa.
Wanangu kila siku huniletea kesi za kuibiwa madaftari. Sasa nikawaambia mie sikuwahi kuibiwa daftari(kama ujuavyo mzazi ni perfect siku zote)
Wakaniambia "mwalimu tatizo litakuwa mwandiko labda" watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa.
Njoo Kiegea mkwe.Miyeyusho tu, mji umejengwa hovyo na hakuna hatua za dharura zinazofanywa...
Fanya kamchakatu tu mama uokoe jahazi.
Manunda wenzio, wanaunangaje mwandiko wa mwalimu kwamfano[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Manunda wenzio, wanaunangaje mwandiko wa mwalimu kwamfano[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23]Sikupendi pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]korongocho slums hiyo
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee mi sikuwahi kuwa nunda shuleni nilikuwa mpole kama Jael,, [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona ulipewa umontresi kama ulikuwa mpole