Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Moshi, home sweet home
Pametulia vizuri mnoo!!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Moshi, home sweet home
Karibu tena jamaniJambo [emoji73]...asante kwa mtori ulikuwa super
Abeee
Dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia Dar hali ya hewa imechafuka poleni wakazi wa dar,mvuq baadala inyeshe shamba inanyesha mjini
Hahaha...nilikuwa nataka usogee tu hapa...jambo wewe mjukuu wa mpwa ODMSo untrue asee
Washazoea hao, kila mwaka kwenye taarifa za habari wao tu
Unafanya uzi uwe interesting... jiinjolie tu mwaya...maana kuna siku utakuwa bored utahamia pengine
Mazabau hii yakiganga...Unahisi huyu atakuwa anafanya kazi gani..??[emoji848][emoji28][emoji28]View attachment 1295018
Sent using Jamii Forums mobile app