Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
👏Upo sahihi
👏Upo sahihi
German ya Arusha 😂😂😂😂Nimekosa[emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23] wewe nahisi sehemu unayo ijua vizuri ni GAMBOSHI [emoji23]Nimekosa[emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Kwahiyo mmeamua mturoge tu[emoji134][emoji134][emoji134]Kuna mdada ananisumbua kichwa sana nampenda ila hapendeki niuzie kifurushi chote hicho nataka kumrudisha
Shee bei gani!
Huku shamba tunaisubiri kwa hamu[emoji134][emoji134]Nasikia Dar hali ya hewa imechafuka poleni wakazi wa dar,mvuq baadala inyeshe shamba inanyesha mjini
Unaelekea kuwa Hazard CFC
Kwa kumbukumbu [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1294979
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Smart911
Halafu haka nilikuwa ninahisi tu ni katoto, kumbe i was right.Kifupi mdogo wangu kwa Sasa ujipange maana kwenye comment tukibishana nilikuwa naogopa najua pengine ni jibaba ila kwa sasa nakuchana live kumbe una sura soft hivyo[emoji1][emoji1][emoji1]
Nataka nimtengeneze awe wangu tuKwahiyo mmeamua mturoge tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Shida ni pale inachelewa sana, sijui mjini watakula niniHuku shamba tunaisubiri kwa hamu[emoji134][emoji134]