Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,544
- 18,237
ART AND CRAFT.Unahisi huyu atakuwa anafanya kazi gani..??[emoji848][emoji28][emoji28]View attachment 1295018
Sent using Jamii Forums mobile app
ART AND CRAFT.Unahisi huyu atakuwa anafanya kazi gani..??[emoji848][emoji28][emoji28]View attachment 1295018
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, ule wako ni next level.So untrue asee
Atakua mtumishi wa TanescoUnahisi huyu atakuwa anafanya kazi gani..??[emoji848][emoji28][emoji28]View attachment 1295018
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi huyu atakuwa anafanya kazi gani..??[emoji848][emoji28][emoji28]View attachment 1295018
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa zikiisha?Nataka nimtengeneze awe wangu tu
Tutakachovuna tunakula wenyewe.Shida ni pale inachelewa sana, sijui mjini watakula nini
Haziishi nitapewa mwaka mara 12 kila mwezi natumiaDawa zikiisha?
Shee hebu tutake radhi[emoji134][emoji134][emoji134]Ticha
Jr[emoji769]
Na Hela ndogondogo nachukua siachi hata senti
Cc Smart911 View attachment 1294911
Sent using Jamii Forums mobile app
Zina mwisho hizo, tena mbaya sana.Haziishi nitapewa mwaka mara 12 kila mwezi natumia
Wacha wa dar wakae nne wakijua shamba kuna mazao, watakula pweza tuTutakachovuna tunakula wenyewe.
Ila alichowafanyia magu ni heri muache siasa tu, mrudi baada ya magu kupisha ofisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wa dar wakae nne wakijua shamba kuna mazao, watakula pweza tu
Ndiyo chakula pekee wanapenda ili wajaze nguvu zile zinazotafutwa kila kona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona pweza!!!
Na hivyo wamepungukiwa[emoji134][emoji134]Ndiyo chakula pekee wanapenda ili wajaze nguvu zile zinazotafutwa kila kona
Zingine utuleteage ngosha.Burberry ya Winter unasikia baridi moaka imevaa sweta.View attachment 1295031
Sent using Jamii Forums mobile app