Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,753
- 109,851
Hahah...coz we belong together [emoji73][emoji7][emoji3059]Uko handwriting kama yangu jamani!
Hahah...coz we belong together [emoji73][emoji7][emoji3059]Uko handwriting kama yangu jamani!
Nilileta nyingi sana zawadi mpaka jamaa wa airport hawakuamini kama ni zawadi, wakaona nafanya biashara.Zingine utuleteage ngosha.
We jamaa ulisoma science nini...
Kuna jamaa yangu alikuwa na mwandiko mzuri kama huu akang'oa dem mkali saana secondry
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, umenikumbusha mtu mmoja alikuja kwangu akakuta vitabu vingi sana.
Asante sana mwalimu, itabidi unishike mkono kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuandika kama mimi uje nikuelekeze [emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto [emoji116][emoji116][emoji116]
Cc Smart911 View attachment 1295115
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ulisoma science nini...
Kuna jamaa yangu alikuwa na mwandiko mzuri kama huu akang'oa dem mkali saana secondry
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Uji wa ulezi wa maziwa na maziwa fresh vinapatikana asubuhi na jioni
Cc Smart911 View attachment 1295119
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha chenji yangu tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwe jamani Mungu hapendi hivyo!!
Hata mahari haujatoa[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo nichukue wa bei gani?Mkali sana shee huo utaunguza mpaka nyumba
Jr[emoji769]
Shee vibaya hivyo!![emoji1][emoji1][emoji1]najitolea kutodaiwa
Jr[emoji769]
Asante sana mwalimu, itabidi unishike mkono kabisa.
Wanangu kila siku huniletea kesi za kuibiwa madaftari. Sasa nikawaambia mie sikuwahi kuibiwa daftari(kama ujuavyo mzazi ni perfect siku zote)
Wakaniambia "mwalimu tatizo litakuwa mwandiko labda" watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa.
Fanya kamchakatu tu mama uokoe jahazi.
Umroge nani?Abeee
Mie anipe wa buku tuu
Mmmmh!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawadai wengi sana kwenye huu uzi!!. Tulia wanilipe basi nikupunguzie
Haya, wasalimie.Nilileta nyingi sana zawadi mpaka jamaa wa airport hawakuamini kama ni zawadi, wakaona nafanya biashara.
Kwa sasa likizo naenda Turks and Caicos, nikija huko naweza kupewa makosa ya mtandao kuchanganywa na Kigogo2014 bureee.
Sitaki shida mimi.
Ndio, kama mwalimu wa mwandiko chekechea.Eti nikushike mkono[emoji23][emoji23]
Mbinguni huendi mkwe. Unaidai maiti damu[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha chenji yangu tafadhali
Ndio, kama mwalimu wa mwandiko chekechea.