Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.

Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.

Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Aanh mi nishapata mwingine huku naishi nae! Nalea kijusi saa hizi, mtafutie mwingine tu😆
 
IMG_0543.jpeg
 
Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.

Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.

Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
cocastic pisi kali.
 
Nawaonea hadi huruma kwenda kuwachefua, naona kama vile NAMSIMANGA YATIMA 😂🤣
Jana nimekesha kuwachefua kwenye uzi wao mpaka nimechelewa kuamka na dada kasafiri na nyumba chafu…!!

Hapa nawaza nianze na kazi ipi? 😹😹
Kuna vyombo vichafu nilijishaua kujipikilisha vinanitazama wohiii..!!
 
Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.

Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.

Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Dah mzee kwa miss eyes ulinifanyia roho mbaya sana 😬 yule ndo alikua love of my life 😁🏃🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom