Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,856
- 9,535
We nyau wewe!!Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh😂
We nyau wewe!!Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh😂
Ana nokia 3310, anacheza game la nyoka tu.chukua simu ya mkeo upige pic 😹
Hili toto linanivizia mnywani halitaki nione neema za allahAiiiiiiiiiiiiiiiiriririiii 🔥🔥🔥🔥🔥
Ulipendeza sana hapo shepu kama yote.. Na rangi ya kigauni plus location awwwwwwwww!!
Pendeza sana lamama.
Na amebarikiwa sio kidogo toto black beauty mashallaaahhh lips jicho aaaaww!!Hili toto linanivizia mnywani halitaki nione neema za allah
Achana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!Miongozo kanikuza sana siunajua yee hata umtukane vipi ukimuongelesha anakujibu kirohosafi tu Maisha mafupi haya kukaa na mavinyongo yasiyo na kichwa wala maskio
Una roho mbaya maka 😹😹Ana nokia 3310, anacheza game la nyoka tu.
alafu mna match balaaaAchana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!
Uzuri karma imewarudia tunasonga mbele..!
Mie natumia nokia 1100, yeye anatumia 3310..Una roho mbaya maka 😹😹
Em mnunulie mwenzio hata iPhone 16 basi..!
Ni org mnywani hajaenda uturukiNa amebarikiwa sio kidogo toto black blacky mashallaaahhh lips jicho aaaaww!!
Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!alafu mna match balaaa
Amen and amen.Achana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!
Uzuri karma imewarudia tunasonga mbele..!
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisssa mnywani! Ushatoka masjid nifanyie wepesi nataka nirare mnywani!Ni org mnywani hajaenda uturuki
Khaaaaaa..!! Maka acha ujinga unafanya nacheka km chizi..!! 😹😹😹Mie natumia nokia 1100, yeye anatumia 3310..
Yaani anatumia simu mara 3 ya kwangu chukua 3310 gawa kwa 1100 😂🤣
SHida yako huniaminigi 🤣😂Khaaaaaa..!! Maka acha ujinga unafanya nacheka km chizi..!! 😹😹😹
Halafu home niko peke yangu leo basi najitisha mwenyewe na hili base..!! 😹
Combo hii parfect sana ni kama libasegeye na aura!! Uzuri wote ni wazee wa kuflash vitu.Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!
Si unakumbuka shengesha tulomfanyia babu miga mpaka akarusha taulo..!! 😹😹😹
Roho iliniuma nilichelewa kuusoma mchezo.
Ukashindwa ufanyeje sasa huku mnywani kule roho yako!! ☺☺alafu mna match balaaa
Tatizo hujawahi kuwa serious maka 😹😹SHida yako huniaminigi 🤣😂
Naangalia marudio ya world cup nikisubiri mechi ya ChelseaSauwaasauwaa.
Hebu leo tubless basi Cantri ake Lamo tunaharibu uzi kupiga blah blah ujue!
😹😹😹 Hivi auntie wangu mshunuu mzima jamani 🥰Combo hii parfect sana ni kama libasegeye na aura!! Uzuri wote ni wazee wa kuflash vitu.
Mi mwenyewe na jivunia kua na bodyguard kama wewe pembeni