makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,621
- 109,014
Subiri kwanza niwatizame CHELSHIITKweli sitanii bana maka 😹😹
Tupia yenye kamwanya basi 😍
Subiri kwanza niwatizame CHELSHIITKweli sitanii bana maka 😹😹
Tupia yenye kamwanya basi 😍
😹😹😹 Wanakamati shughuli tuliiendesha barabara muda wa kukata cake wenye ukumbi mods wakatulima ban 😹😂😂😂😂 khaaah
Sijambo, mzima kabisa nipo winja nasoma tu shengesha zenu😅😅Cantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?
Kwanza hujambooo? 😂😂😂
Wewe si unauza hizi T-shirt tena unazisifiaga ni quality kabisa😅😅Na Tshirt si unajua napenda white Tshirt..!!
Kesho unifanyie deriver mapema jpili nivae misa ya kwanza..!!
😹😹😹Wog ana moyo mdogo hajazoea skendo mamchu wawatu inaonekana ameumia sana
😂😂😂 JF ina vituko, heka heka mwaa mwiii.Umefika 😹😹😹
Mi naona wog anatishia nyau.
Nimemwambia anitajie waliyenijadili na babu miga anaruka ruka..!! Nataka nimuanzishie shuhuli ili amalize..!!
Nipo hapa natizima na mimi..!!Subiri kwanza niwatizame CHELSHIIT
😂😂😂 yeye anakuja na hitimisho, mbona kasema.Yani wog litamkuta jambo soon tupo hapa wanakamati.!! Na alivyo hachelewi kulia sasa 😹😹😹
😂😂😂 itakua ni Yeye huyo wallah.😹😹😹 Mafwele ana namba za nchi tofauti tofauti..!!
Wog mpole kama tinslay.😹😹😹
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga 😹😹😹
Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! 😹😹😹
Bila yeye kunisanua nisingemjua 😹
Chino hii nimeipenda, kwa kweli.Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.
Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
Mimi nauza vijora na Tshirt wapi na wapi? 😳Wewe si unauza hizi T-shirt tena unazisifiaga ni quality kabisa😅😅
😂😂😂 ameenda kujipanga, akirudi hapa ni 💥💥💥Tina kapotea 😹😹
Nature yao inaruhusu na yuko fit kila idara nguvu anazo resource anazo yani akikukamata huchomoki kirahisi. Afu Wanaume wengi do cheat mbona.Mio anakupenda sijui kipi huwa kinamfanya akusaliti..!! 😥
😹😹😹😹 Anatuchomesha mama wa brand na hilo hitimisho lake..!!😂😂😂 yeye anakuja na hitimisho, mbona kasema.
😂😂😂😂😹😹😹
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga 😹😹😹
Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! 😹😹😹
Bila yeye kunisanua nisingemjua 😹
Nimemuonaa uduguu, 😂😂😂Leo kaselfika 😹😹😹
Utapigwa shot za chuchu shauri yako 😹😹😂😂😂 itakua ni Yeye huyo wallah.
😂😂😂 ni Leo au??😹😹😹 Wanakamati shughuli tuliiendesha barabara muda wa kukata cake wenye ukumbi mods wakatulima ban 😹
Kabisa, hapo alikuwa anatype huku anatetemeka 😹😹😹Wog mpole kama tinslay.