Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,606
- 100,256
Na sie na ban 😹😹Nakumbuka, tulilimwa ban mnoo.
😂😂😂
Halafu ule ugomvi tulivyoushadadia mpaka watu wakamwagika bila kupenda..!!
Na sie na ban 😹😹Nakumbuka, tulilimwa ban mnoo.
😂😂😂
Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.Na sie na ban 😹😹
Halafu ule ugomvi tulivyoushadadia mpaka watu wakamwagika bila kupenda..!!
Mi nilitaka kumpa kijiti Wog lakini Wog mwenyewe kakimbia 😹😹😹Haswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.
Tubless tuliopo mama Mio 😍spidernyoka naona umetoka online wacha nikapumzishe fuvu langu sasa kesho nayo siku!
Mrare unono wapendwa.
😹😹😹😹 Siku hizi zinashuka zenyewe sisi kazi yetu ni kuweka mzigo mezani hatuhitaji cross examination kwa mashahidi..!!Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.
😂😂😂😂 tunaiweza na tunaimudu.
😀😀naomba ibaki hivyo tu maana kujitetea sitaweza 😒Chicca ana bahati nzuri sana kamati haijawahi kukaa kwa ajili yake😅
mbona umeacha kunijumuisha mimi sijui na nani huyo, kwan tumekukosea nini😭😅
Nimecheka🤣🤣🤣,mbona umeacha kunijumuisha mimi sijui na nani huyo, kwan tumekukosea nini😭😅
kosa letu ni lipi?, tutabadilika plzz Warda naomb utujumuishe😆Nimecheka🤣🤣🤣,
Nyie mtasikia Kwa jirani.
Jr kadondosha kimeo changu hii ya last yearTubless tuliopo mama Mio 😍
Mashallah 😍😍😍
Ukagoma kuniunga kwa group😅😅Mimi nauza vijora na Tshirt wapi na wapi? 😳
Niongezee mtaji niweke na Tshirt, kwani zinalipa?
Na kuchachuka?😅Hakuna shengesha humu, kuna ndimu ya uzi tu hapa.
😂😂😂
Group lipo la ukoo… 😹Ukagoma kuniunga kwa group😅😅
Anatumia jina Gani?Babu miga yupo udugu na anatamba kama sio yeye 😹😹😹
Kuna uzi alinikomalia kweli wog alivyonitonya acha nicheke..!! 😹😹😹
Ni bless basi lifoto la kwenda hapa, nakusubiri😀😀naomba ibaki hivyo tu maana kujitetea sitaweza 😒
😀😀😀😀 sina hata mojaNi bless basi lifoto la kwenda hapa, nakusubiri
Dooh, sijui ntalalaje sasa😀😀😀😀 sina hata moja
Polee sana lala tu kama siku nyingineDooh, sijui ntalalaje sasa
Nawaonea hadi huruma kwenda kuwachefua, naona kama vile NAMSIMANGA YATIMA 😂🤣Nipo hapa natizima na mimi..!!
Ngoja nije kwenye uzi wao tuwachefue 😹