Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Parody lako ni lipi kwanza make weee panapofuka moshi ndo unajitokezaga as Lamomy is concerned.

Whyy???????

Bty Mi hata sielewi chochote huwa naingia nakuselfika zangu nakusifia tu
Natumia browser wala sihitaji kulog in kila siku๐Ÿ˜…

Browser ya bei chee tu mini UC
Screenshot_20260918-211454.png
 
Mmmh toka lini umeanza uoga wa kuandika mafumbo? Hebu weka samareee vizuri, kina nani hao๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Fungua code nipige fundo hii Jager hapa
Mimi niogope na nilikuwa katikati yao mpaka yakayamwagwa ya kuyamwagwa UMENISAHAU ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wote wananijua vizuri siwaogopi..

Sema nini muungano wa wachawi haujawahi kudumu..!!

Mtoa idea ya uchonganishi hajaamini macho yake alivyokwapuliwa bwana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mimi na Antonia tupo sana ugomvi wetu ulisukwa na haukuwa wa mboo za kugombania za mafungu..
 
Miongozo kanikuza sana siunajua yee hata umtukane vipi ukimuongelesha anakujibu kirohosafi tu Maisha mafupi haya kukaa na mavinyongo yasiyo na kichwa wala maskio
 
Back
Top Bottom