Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,210
- 185,074
Apotezee tu asijiumize moyo kwani ni mambo za longi time !!😹😹😹
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga 😹😹😹
Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! 😹😹😹
Bila yeye kunisanua nisingemjua 😹