Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mtu unamchokoza weeeeee unamtafuta weee anakupotezea it hurts a lot.
Jifunze kupotezea wajinga wajinga uone wanavoteseka .
 
Umechanganya madesa nini mimi na waist natoa wapi mgongo umeunganikana na kiuno😂
Aweeeh! jana nimekaa hadi saa nane nikiona unavotubless wana mara mbili mbili nikajithibitishia kuwa ndio maana wadau kila kukicha uzi juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…