spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,341
- 22,297
Na nyie hamjui kulenga mimi mtu nkimualika kwenye maisha yangu basi nimejiridhisha ana mipaka ya uchiziNdio utoke huko ulikotoka unakimbilia pm za watu unaanza kumuanika mtu na picha zake eti mlikuwa wote , thats high level of stupidity!
Hata kama ulikuwa naye cha ajabu hapo ni nini? Dumbass🤦🏽♀️
Sio kila anaekaa kwenye njia yako unaenda nae