Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!

Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!

Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!

Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!

Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!

Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
Tumekusikia Dada,binafsi naanza kujirekebisha.
 
kumbe tunahangaika kujibishana na wanawake wenzetu?? Woii halafu katika hayo mabishano siku jaribu kumuambia mmoja wao acha umama au acha mambo ya kike uone hayo matusi utakayoyakoga,, yaani hadi utasahau njia na mimi mtu akishaanza kunijibu hoja kwa matusi huwa ananichefua na kunipandisha hasira kabisaaaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi ndio silaha yao, akishajiona hana hoja anamalizia malezi yake mabovu kwako.
 
like I once used to do,, leo hii naambiwa nimepoa eti watu wamemiss lile jeshi langu la mtu mmoja khaa hapana kwa kweli wanaume wa JF ni vichwa ngumuuuuu nimeitwa majina yote sijui feminist sijui activist ila haijanibadili kitu wala
Na wameshafurahi mnooo!! Huko kwenye uzi memkuta Hornet anapambana nao mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Be careful with those. They’re not very kind to your midsection...

Best to balance it with a trip to the gym a couple times a week.

88119F72-0255-40FE-ADD3-D453241C055C.jpeg
 
like I once used to do,, leo hii naambiwa nimepoa eti watu wamemiss lile jeshi langu la mtu mmoja khaa hapana kwa kweli wanaume wa JF ni vichwa ngumuuuuu nimeitwa majina yote sijui feminist sijui activist ila haijanibadili kitu wala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa kiboko ujue!!! Unaandika na ukikomaa na uzi hubandukii!!
 
Back
Top Bottom