Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,847
Ulifuta shee, ile ya kitandani.Sio mimi
Jr[emoji769]
Ulifuta shee, ile ya kitandani.Sio mimi
Jr[emoji769]
Mie tekno yangu imenionyesha makengeza.[emoji2296][emoji2296] mie mbona nikimuangalia naona kama haniangalii mimi anaangalia pembeni,, kweli ndiyo maana watu wa tecno wereva tunachekwa kila siku..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana dhambi hao walojibinua, kama huyo wa nyekundu haendi mbinguni[emoji85][emoji85][emoji85]
Sio kwa unyanyapaa huo walomfanyia mwenzao[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aahh kabisa huyo mbingu ataisikilizia kwenye bomba la sindano tu,, sema daah huyo wa nyekundu wasimfananishe na vitu vya ajabu huyo ni samsung kabisaaaaa hao wengine ndiyo iphone na kina sie tecno na huyo mwenye blue full ni infinix..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie tekno yangu imenionyesha makengeza.
Sio kwa unyanyapaa huo walomfanyia mwenzao[emoji134][emoji134]
Sasa unageuza nini mama hata kama ingekuwa ndio wewe[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti akaona haina haja ya kugeuka
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmmmmmmmhComments zenu ndio niliweka huko...
Haya hebu tuanze upya kuandika vitu vizuri vizuri
Sasa unageuza nini mama hata kama ingekuwa ndio wewe[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]
Mmmmmmmmmmh
Dogo unasupport sisi kutupwa kwa dustbin? Muone na tecno yake hahahahaWatu8 iweke na hii umeisahau [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1]uliyananga mapazia yangu
Jr[emoji769]
Itel kabisa[emoji1787][emoji1787]Dogo unasupport sisi kutupwa kwa dustbin? Muone na tecno yake hahahaha