Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mimi huwa nazurura kona zote!!Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani unapata kiungulia kikali kabisaa ukisoma!!







