Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,543
- 18,231
Ameeeeen.Na Mungu akutangulie kwenye mabadiliko yako kaka!
Ameeeeen.Na Mungu akutangulie kwenye mabadiliko yako kaka!
[emoji1784][emoji1784][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Na mimi huwa nasoma tuu nateseka na nyongo, leo nikasema naitemea huku kwa selfie!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namna tena!
Na hiyo ndio shida yao, sijui kwanini wanakimbiliaga matusi mazito mazito
[emoji134][emoji134][emoji134]
Sijui tunakosea wapi kwenye malezi ya hawa watoto wetu wa kiume walah!!!
... mimi mtu akishaanza kunijibu hoja kwa matusi huwa ananichefua na kunipandisha hasira kabisaaaaa..
Nimefurahi tu...penda wewe [emoji73] wangu [emoji3059][emoji3589]Hahahahahaha
Nini mbaya jamani
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ameeeeen.
Mimi hata sijui mnadiskasi mavitu gani...mkimaliza msisahau picha basi mkiwa mmesmileeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeitemea tu huko huko mama huku ulikuja kuwatemea hadi wanaume wasio na hatia kama kina Watu8
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha
Huyo ndo alikuwa bega kwa bega na wewe!!!
Saivi mshakuwa mabebe
Hahahahahaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeitemea tu huko huko mama huku ulikuja kuwatemea hadi wanaume wasio na hatia kama kina Watu8
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mdogo wangu mzuri mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa dada ni kupotezea tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kabisaa my dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Extrovert na Lizarazu ndiyo walikuwa my worst enemies pamoja na Relief Mirzska lakini siku hizi eti Extrovert amekuwa my baby,, Lizarazu kapotea leo nilikuwa nimekaa sehemu nakula nikamkumbuka kabisa yaani maana naye kabla hajapotea tulishaanza kupatana na kuwa marafiki.. Relief Mirzska ndiyo kabisa tumekuwa mabest siku hizi tunaongea habari za kusafiri tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app