Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,786
- 182,955
Shee jamaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1]uliyananga mapazia yangu
Jr[emoji769]
Shee jamaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1]uliyananga mapazia yangu
Jr[emoji769]
Haaha mbona ItelItel kabisa[emoji1787][emoji1787]
Dogo unasupport sisi kutupwa kwa dustbin? Muone na tecno yake hahahaha
Itel kabisa[emoji1787][emoji1787]
Ushahidi na mashahidi wapo ASANTE sana @karma
Jr[emoji769]
Umegonga point tupuNimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
Baba parokoUmegonga point tupu
Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
Daah wapi hiyo kaka?? Mbona umechelewa kuniambia jamani sasa hivi niko busy napack mizigo!![emoji26][emoji26][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema wewe,, tukisema sisi.. [emoji850][emoji850] [emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyo mgombanishi shee.Ushahidi na mashahidi wapo ASANTE sana @karma
Jr[emoji769]
Unapak mizigo ya kwenda wapi. Leo natembea paka kule njia ya lami. Nipe direction...
Sent using Jamii Forums mobile app