Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,844
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumechoka, hawajui tu madhara ya sisi kuchoka.
Na hivyo wanapenda attention, tukichoka watafurahi.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
Na mimi huwa nasoma tuu nateseka na nyongo, leo nikasema naitemea huku kwa selfie!
Asante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo ndio shida yao, sijui kwanini wanakimbiliaga matusi mazito mazitoKuna mtu aliwahi kusema siku wanawake tukiamua kuchoka kujibishana nao kuhusu mambo ya kijinga labda na wao ndiyo watatulia,, kama siyo Noelia basi Hannah hawa nao sijui wamepotelea wapi jamani daah I miss 'em days tulivyokuwa tunaungana kuwachachafya hadi tunawatoa mapovu wanabaki kututukana matusi ya nguoni tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini eti??
[emoji1787][emoji1787]haya mmoja ndiyo huyu hapa
Cc Jael Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani una umri gani.?
You're not alone
Unaendeaje wewe mdogo wangu!Kwani una umri gani.?
You're not alone
Eeeehhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna uzi ilianzishwaga na jamaa anaetongoza wanaume wenzie pm, ndio tukagundua wanaoponda sana wanawake ni kina James, maana wanachafua image yetu ili watimize haja zao.
Kuna uzi nao mods walipita nao kuna mtu ulikuwa unaongelea mambo hayo hayo.
Hivyo Sakayo huyo uloona anaita wanae ndama na mkewe ng'ombe usiumize nao kichwa maana hata jamaa alofunguliwaga uzi ana mke na watoto lakini ni "chakula".
Habari za jumamosi
Jogoo bwana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]