Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Ukifurahi na mimi iko furaha my [emoji1780]...Nimefurahi tu...penda wewe [emoji73] wangu [emoji3059][emoji3589]
Penda wewe more jamani!
Ukifurahi na mimi iko furaha my [emoji1780]...Nimefurahi tu...penda wewe [emoji73] wangu [emoji3059][emoji3589]
Matusi ndio silaha yao, akishajiona hana hoja anamalizia malezi yake mabovu kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nguvu ya mahaba!
Kwa hiyo mnawateta huku ngoja niwaite mpoteane hapa.Si ndio hapo sasa,, na mie nikaona cha kunifanya niwe naharibu siku kisa mafurushi kitu gani.. ni kuwanyamazia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mnawateta huku ngoja niwaite mpoteane hapa.
Kwenye ule uzi mnapita kimya kumbe mna donge rohoni😄😄😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaha hahaha"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona kaamua kuja kujifariji na wanamember wa humu sio mbayaKwa hiyo mnawateta huku ngoja niwaite mpoteane hapa.
[emoji104][emoji104][emoji104]Kwenye ule uzi mnapita kimya kumbe mna donge rohoni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ulikuwa kiboko ujue!!! Unaandika na ukikomaa na uzi hubandukii!!
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1784][emoji1784]
Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri napenda sana kwenda gym ila kila nikianza nafanya kwa muda naacha kabisa .napenda sana kula ma junk foods lakin pia ni bingwa wa ku maintain weight yangu nina kg 63 kwa miaka 3 kutoka kg 80Be careful with those. They’re not very kind to your midsection...
Best to balance it with a trip to the gym a couple times a week.
View attachment 1292568
Watu wabaya waleee jamani!Kwenye ule uzi mnapita kimya kumbe mna donge rohoni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Vile we bado msichana mtoto...ukikua utaacha
[emoji13][emoji13]
Basi tunaweza kuongea lugha moja ,ungeni ita kwenye huo uzi tungewatoa mapovu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeolewa mkuu
Saivi mepumua kwa kweli!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona kaamua kuja kujifariji na wanamember wa humu sio mbaya