Nitaanza leo mkiniona saa nne usiku humu niombeeni ban😃Inasaidia, unafanya mambo yako akili ikiwa imetulia..
Koh koh 🤭Jamani kuna aina wananenepesha wenzao kama sifa wakati wao wako vilevile😫
Nipo na notebook, hakuna kuigia daftari langu 🤗Kwa hizo shot zote!! Kunyofoka ni ngumu ama kweli
Michembe hii??Haiyaa karibuni rachi🌝View attachment 3662440
Ili niweke mpira kwenye nyavu nahitaji pasi nzuri kama za Cletous Chama 🤭Sawa babu mjukuu akuletee haraka kiko nakukufotoa ili utubles wajukuu zako!!
Nitakuwa wa kwanza kukuanzishia uzi upigwe ban😅Nitaanza leo mkiniona saa nne usiku humu niombeeni ban😃
NdioMichembe hii??
Samaleko
Ifike mahali mseme ukweli kuhusu hiyo juice ya bamia, ni kweli hapo vita ni unene au kuna usilosemaa kwa wadada wenzio😄😄..
Samahni ndo nimetoka niende lunch, ata sijui nasema nini
Nimekula mikavu sana iliyopikwa sijawai ibahatisha aseeNdio
Nipewe haki yangu ya kikatiba😃😃Nitakuwa wa kwanza kukuanzishia uzi upigwe ban😅
Pole sana siku moja uje nikupikieNimekula mikavu sana iliyopikwa sijawai ibahatisha asee
Imeisha hiyo😃Nipewe haki yangu ya kikatiba😃😃
Utakua umetisha sana tuombe uzima tuu 😃Pole sana siku moja uje nikupikie
MtumishiJmn nimepitwa
Au ntakuletea hukohuko😂Utakua umetisha sana tuombe uzima tuu 😃
Yote sawaaa tuu utachagua lile waona lafaa kwako 😃Au ntakuletea hukohuko😂
Haya Nibless kidogo nipumzike jioni yangu😎Yote sawaaa tuu utachagua lile waona lafaa kwako 😃
Umeenda wap tenaHaya Nibless kidogo nipumzike jioni yangu😎
Nipo hapa naskusubiri wewe tu babaUmeenda wap tena