Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,831
- 9,489
Hahaha; no.Hahahah ulitaka umbake🙆🏽♀️
Nilikuwa outshined sana mara kwanza nikasema hizi ni dharau.
Wiki nzima nikiwa natafuta stamina!
Ilo seke seke la mara ya pili mtoto hakutumwa dukani.
Na vyumba vyetu vya uswahilini si unajua tena ila mi sikujali nikasema vita ni vita muraa