Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,489
- 42,676
😁😁😁acha watuamkie mashangaziMimi sasa nanamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka hadi naonekana lohl!!
Mi .kila mtu mtaa mzima wananiita dada
Mpk wengine mitikunyema
Nikawaambia mnikome😁😁