Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haiyaa karibuni rachi🌝
6008039F-E893-4849-9035-A16F95D6E726.jpeg
 
Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!

Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Nimecheka ujue ..pole jmn
Mi huwa situmii maji kipenzi
Asali naila km ilivyo ...nakaq km nusu saa ndo nae delea na vingine....ila km unataka kutumia maji tumia ya kawaida kabisaa wala yasiwe ya moto....

Pia hizo punje ni 3 tu tena vile vya kienyeji usitumie yale makubwa meupe ya kichina.....
Na badala ya maji u aweza tumia juice ya bamia mbona haina test ni km maji tu....labda vile inavyoteleza watu wanapata shida ila baadae u azoea....
I wish melo angeweka options ya voice note jmn
 
Samaleko
Ifike mahali mseme ukweli kuhusu hiyo juice ya bamia, ni kweli hapo vita ni unene au kuna usilosemaa kwa wadada wenzio😄😄..
Samahni ndo nimetoka niende lunch, ata sijui nasema nini
 
Nimecheka ujue ..pole jmn
Mi huwa situmii maji kipenzi
Asali naila km ilivyo ...nakaq km nusu saa ndo nae delea na vingine....ila km unataka kutumia maji tumia ya kawaida kabisaa wala yasiwe ya moto....

Pia hizo punje ni 3 tu tena vile vya kienyeji usitumie yale makubwa meupe ya kichina.....
Na badala ya maji u aweza tumia juice ya bamia mbona haina test ni km maji tu....labda vile inavyoteleza watu wanapata shida ila baadae u azoea....
I wish melo angeweka options ya voice note jmn
Asante kwa mwongozo mamchu! Am trying ntaleta mrejesho
 
Unajua maji tu peke yake unaweza oungua vzr sn
Asbh lita 1, mchana lita 1 na jioni lita 1
Unakunywa saa 1 kabla ya kula
Yaani ni unapungua vzr sn bila stress
Coz automatically hutatumia soda , juice utajikuta unaacha ht chai baada ya muda utaacha

Seran
 
Back
Top Bottom