Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,748
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.

Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa)
Screenshot_20230524_223934_Google.jpg

2. Bilauri ya maji (nusu lita)

Maelekezo

  1. Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips.
    okra-green-ladies-fingers-okro-ochro-bamia-food-abelmoschus-esculentus-edible-damenfinger-bhin...jpg
  2. Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
  3. Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi.
    FB_IMG_1670583917510.jpg
  4. Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
    eagle-industries-diabetic-try-okra-water-jpg.2633792
  5. Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
  6. Kunywa maji uliyochuja
Muhimu
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.

Unaweza kufanya maandalizi ya bamia usiku kabla ya kwenda kulala ili ahsubuhi uyatumie yale maji kabla haujapata kifungua kinywa.

Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.

Kama una matatizo ya

  1. Vidonda vya tumbo
  2. Diabet
  3. Joints kuuma
  4. Kupoteza ute kwenye joints
  5. Upungufu wa CD4
  6. Vidonda (sugu au vya diabetic)
  7. Kupoteza hamu ya kula
  8. Unataka anti-aging
  9. Etc
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika

Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.

Tupendane

picha kwa msaada wa mitandao
 
Attachments

  • eagle-industries-diabetic-try-okra-water.jpg
    eagle-industries-diabetic-try-okra-water.jpg
    13.1 KB · Views: 152
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.

Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) View attachment 2633788
2. Bilauri ya maji (nusu lita)

Maelekezo

  1. safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. View attachment 2633787
  2. Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
  3. Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi. View attachment 2633791
  4. Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
    eagle-industries-diabetic-try-okra-water-jpg.2633792
  5. Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
  6. Kunywa maji uliyochuja
Muhimu
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.

Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.

Kama una matatizo ya

  1. Vidonda vya tumbo
  2. Diabet
  3. Joints kuuma
  4. Kupoteza ute kwenye joints
  5. Upungufu wa CD4
  6. Vidonda (sugu au vya diabetic)
  7. Kupoteza hamu ya kula
  8. Unataka anti-aging
  9. Etc
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika

Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.

Tupendane

picha kwa msaada wa mitandao

Huu ndio uzuri wa jf, hongera na asante sana mkuu nipo njiani kujaribu.
 
ahsante
 
Mkuu
Mimi nilikuwa sili bamia tangu utotoni, baada ya kuelezwa hii therapy nimeanza kuitumia miaka minne mpaka leo.

Ule ute hauna ladha na unauzoea within few days
natumia nusulita yote kwa siku moja tena ausubuhi then natengeneza mpya kwawiki moja...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom