Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,831
- 9,489
Hakika ni pretty kweli!!Watu mna manenoš
Haya majina ama kweli watu hamjipi tu
Hakika ni pretty kweli!!Watu mna manenoš
Keshokutwa tarehe 5 September???!!Mwili mzuri upo tu kwenye nguo⦠live utakimbiaš
Nasubiri birthday yangu kesho kutwa ipite then niji tune chap
Ngozi haijui mikorogo hiiNgozi nyororo hiyo ndiyo imenivuta zaidi mkuu.
Kwa kweli⦠vindevu vya babu vinachanganya ujueššSawa babu mjukuu akuletee haraka kiko nakukufotoa ili utubles wajukuu zako!!
Huenda kuna kaukweliHakika ni pretty kweli!!
Haya majina ama kweli watu hamjipi tu
Ndio dearKeshokutwa tarehe 5 September???!!
Nioneshe, maana umeniita...
OkayMie nna 85ā¦
Ila kuna method huwa natumia nikitaka kupungua ni chap tu..
Asubuhi mazoezi ya ku stretch mwili kwa 15min zinanitosha baada ya hapo shots moja ya ginger+turmeric fresh.. naweka na asali kidogo tu..
Nikioga nikimaliza maji yangu nusu lita au karibia lita ndio naenda mihangaikoniā¦
Mchana nahakikisha nimekunywa 1ltr ya maji hapo nakula ndizi moja baadae nakula chakula kawaida tu au chochote nachotaka
KULA MWISHO SAA 11:30 jioni!! Baada ya hapo ni mwendo wa maji mpaka nalala..
Nikifanya hivyo wiki 4 tu napinguza kilo za kutosha..
Yani in short nakula mchana tu.. masaa mengine yanakua water fasting
Hongeraa sana umezaliwa tarehe moja na mwanangu mdogoNdio dear
Mweeee nimepitwaaa kweliApateeeeee. Nimepata
Seran Kapachino Christine_1 Brian Spilner mnapitwa na mibaraka hukuuuuuuuš£š£š£š£š£š£
Mtromtroooo mashallaaahhh š„š„š„ una mwili mzuriiiii sanq jamanii! Stake zakushatroooo
Hakika mchana wangu umekuwa mzuri sana
Wabheja sana
Jmn nimepitwaWatu mna manenoš
Aanh haya mambo yenu wenyewe mnayaweza aiseeššš¾Hahaha; no.
Nilikuwa outshined sana mara kwanza nikasema hizi ni dharau.
Wiki nzima nikiwa natafuta stamina!
Ilo seke seke la mara ya pili mtoto hakutumwa dukani.
Na vyumba vyetu vya uswahilini si unajua tena ila mi sikujali nikasema vita ni vita muraa
Inaonekana!! Ni ya kienyeji kabisa na tattoo hainaNgozi haijui mikorogo hii
Muone kama mgeni vile hahaAanh haya mambo yenu wenyewe mnayaweza aiseeššš¾
Wakikujibu nitagāŗNaomba kuuliza swali, hivi uzinifu nao unaongeza mwili si ndio?