Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,333
- 34,285
Palikua pa moto sanaHmm kipindi nasoma chuo nilikuwa naenda hapo avash, jembe nilikuwa naenda nilipomaliza six! Aisee palikiwa panahit, yule roberto wa amarula alikuja pale mwaka ulee oyaa🫢
Miaka mingapi hapa ziwa liliongezeka kwel Avash pakaharibika sana wamejaribu kuludisha kama zaman naona wameshindwa wamepatelekeza😃
Nikienda tena nitakupigia picha uone palivyogeuka magofu
Jembe sijajua ila na wao pia walikumbwa na issue ile ile